Quality Policy

QUALITY POLICY STATEMENT

KENAS is committed to providing competent and cost-effective accreditation services that meet and exceed expectations of Conformity assessment bodies (CABs).
KENAS shall achieve this through:-

 • Implementation of an effective and efficient management system conforming to the requirements of ISO/IEC 17011(Conformity Assessment – general requirements for Accreditation Bodies Accrediting Conformity Assessment Bodies) and ensure its continual suitability and relevance.
 • Providing resources for implementation of the management system.
 • Offering accreditation services to CABS in a fair, objective, impartial, transparent manner and without any conflict of interest.
 • Training its staff to build the necessary competence abound a satisfying work environment that encourages teamwork and high performance.
 • Ensuring that this policy is understood, implemented, maintained and regularly reviewed to ensure its continuing suitability.
 • Establishing and maintaining quality objectives at all levels and functions.

In order to attain and maintain international recognition and to have its results accepted globally, KENAS shall involve its customers, stakeholders and society in its accreditation activities.

SERA YA UBORA

KENAS imejitolea kutoa huduma nafuu na bora za uidhinishaji ambazo zinafikia na kuzidi viwango vya juu vya mashirika yanayokagua uzingativu wa viwango (CABs).
KENAS imedhamiria kuafikia haya kupitia:-

 • Kutekelezwa kwa mfumo bora wa usimamizi ambao unaambatana na mahitaji ya ISO/IEC 17011 (Masharti ya jumla ya mashirika yanayoidhinisha au kuchunguza shughuli ya uidhinishaji) na kuhakikisha kuwa yanaendelea kuwa muafaka.
 • Kutoa rasilmali na vifaa kwa utekelezaji wa mfumo wa  usimamizi.
 • Kutoa huduma za uidhinishaji kwa mashirika yanayokagua uzingativu wa viwango (CABS) kwa njia ya haki, wazi, isiyokuwa na mapendeleo, na bila ya mgongano wa haja za kibinafsi.
 • Kuwapatia wafanyikazi wake mafunzo ili kujenga ujuzi unaofaa katika mazingira ya kuridhisha ya kutenda kazi na kuendeleza utendakazi kwa ushirikiano, pamoja na matokeo ya viwango vya juu.
 • Kuhakikisha ya kwamba sera hii inaeleweka, kutekelezwa, kudumishwa na kufanyiwa marekebisho ya mara kwa mara ili iendelee kuwa na umuhimu.
 • Kuanzisha na kudumisha malengo ya ubora katika viwango vyote vya kazi.

Ili kuafikia na kudumisha viwango vya kuweza kutambulika kimataifa na kuona matokeo yake yakikubalika kimataifa, KENAS itawahusisha wateja wao, washikadau na jamii katika shughuli zake za uidhinishaji.